• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hojaji mpya yaonyesha Boris Johnson anaongoza katika mbio za kumrithi waziri mkuu wa Uingereza

  (GMT+08:00) 2019-07-12 09:50:42

  Hojaji mpya iliyotolewa jana imeonyesha kuwa, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Boris Johnson anaongoza katika mbio za kumrithi waziri mkuu wa sasa wa Uingereza Bi. Theresa May.

  Hojaji hiyo iliyofanywa wanachama wa Conservative kupitia tovuti ya ConservativeHome imeonyesha kuwa, hata kama asilimia 28 ya wanachama wa Conservative wakimpigia kura mpinzani wake Jeremy Hunt, bado Johnson atashinda kirahisi.

  Asilimia 71 ya wanachama wa Conservative wamesema wamepiga kura tayari, huku asilimia 72 wakimuunga mkono Johnson na asilimia 28 wakimpigia kura Jeremy Hunt.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako