• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara ya nje ya China kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu yaongezeka kwa asilimia 3.9

    (GMT+08:00) 2019-07-12 19:04:33

    Takwimu zilizotolewa na Idara ya forodha ya China zinaonesha kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, thamani ya bidhaa zilizouzwa na kuingia China imefikia dola za Marekani trilioni 2.135, ambalo ni ongezeko la asilimia 3.9 ikilinganishwa na nusu ya kwanza ya mwaka jana.

    Msemaji wa idara hiyo Bw. Li Kuiwen, amesema biashara kati ya China na nchi nyingine imepata maendeleo yenye ubora mzuri. Ingawa hali ya kibiashara ya nje imekuwa na matatizo mengi, na uendeshaji wa biashara ya nje ya China unakabiliwa na changamoto kadhaa, lakini mwelekeo mzuri wa maendeleo ya biashara ya nje ya China kwa muda mrefu, na hali ya kuboresha muundo wa biashara ya nje na kuharakisha mabadiliko ya injini ya biashara hiyo haujabadilika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako