• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Ulaya wafungua ofisi nchini Kuwait

    (GMT+08:00) 2019-07-15 08:35:42

    Umoja wa Ulaya umefungua makao makuu ya ujumbe wake nchini Kuwait. Katika sherehe ya uzinduzi wake, naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya nje wa Kuwait Sheikh Sabah Khaled Al-Hamad Al-Sabah amesema, ujumbe wa Umoja wa Ulaya nchini humo umeonyesha kuwa ushirikiano kati ya pande hizo mbili umepata mafanikio ya kihistoria. Amesema Umoja wa Ulaya ni mwenzi muhimu wa Kuwait katika biashara, uwekezaji, nishati, elimu, afya na sekta nyingine.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako