• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kombe la Kagame 2019- TP Mazembe yaifundisha Atlabara kucheza Banacongo, yatinga robo fainali, kukutana na Azam

    (GMT+08:00) 2019-07-15 09:35:30
    Baada ya kuifundisha Atlabara ya Sudan Kusini kucheza Banacongo, Mabingwa mara tano wa klabu bingwa Afrika TP Mazembe ya DR Congo watakutana na Azam fc ya Tanzania ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la Kagame kesho Jumanne katika mchezo wa robo fainali ya mashindano hayo ya Afrika Mashariki na Kati.

    Mchezo utapigwa uwanja wa Nyamirambo mjini Kigali Rwanda, ambao utafuatiwa na mchezo kati ya KCCA ya Uganda na wenyeji Rayon Sports. Robo fainali nyingine zitachezwa Jumatano, wenyeji wengine APR wakimenyana na Manyema Union, kabla ya Gor Mahia ya Kenya kuumana na Green Eagles ya Zambia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako