• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Maandalizi ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania Bara- Yanga kucheza mchezo wa kirafiki na AS Vita, Simba kujichimbia Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2019-07-15 09:35:53
    Wakiongozwa na kauli mbiu ya "funga kazi, kusanya kijiji", klabu ya Yanga ya Tanzania Bara wanasema hakuna mahala patamu kama nyumbani na wao wapo nyumbani kwao Tanzania kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu, huku wakitaraji kucheza mchezo wa kirafiki na klabu ya AS Vita ya DR Congo Agosti 4 mwaka huu uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

    Wakati huo, watani wao wa jadi ambao ni mabingwa wa ligi hiyo, wanaenda Afrika Kusini kuweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya ligi na michezo ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako