• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • TENISI: Djokovic amuangusha Federer na kutwaa taji la tano la Wimbledon

    (GMT+08:00) 2019-07-15 09:37:52
    Novack Djockovic ameshinda taji la tano la mashindano makubwa ya Tenisi ya Wimbledon kwa kumnyuka Roger Federer kwenye viwanja vya Centre Court mjini London.

    Fainali iliyokutanisha magwiji hao inatajwa kama mechi bora na ngumu kuwahi kutokea katika historia ya mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako