• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo kati ya TMC na kundi la upinzani nchini Sudan yaahirishwa tena

    (GMT+08:00) 2019-07-15 14:23:45

    Mazungumzo yaliyopangwa kufanyika jana kati ya Baraza la Mpito la Kijeshi la Sudan (TMC) na muungano wa upinzani wa Uhuru na Mabadiliko yameahirishwa tena.

    Habari kutoka sShirika la habari la Sudan SUNA lzimenasema kuwa, mazungumzo hayo yameshindwa kufanyika kwa mara mbili, kutokana na wawakilishi kutoka upande wa kundi la upinzani kutofika. Limeongeza kuwa si

    Habari zinasema, TMC na wala Umoja wa Afrika hazijatoa taarifa kuhusu kuahirishwa kwa mazungumzo hayo, lakini mmoja wa viongozi wa kundi la upinzani Khalid Omer Yousif amesema kundi lake limetoa ombi kwa Umoja wa Afrika kuahirisha mazungumzo hayo mpaka jumanne.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako