• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magufuli ambia kina mama wajifungua watoto wengi ili kukuza uchumi wa nchi

    (GMT+08:00) 2019-07-15 19:57:26
    Rais wa Tanzania John Magufuli amewahimiza wanawake nchini kushika uja uzito na kujifungua watoto wengi ziadi ili kukuza uchumi wa nchi.

    Magufuli alitoa mfano wa uchumi wa China, Nigeria na India ambazo zimepatikana kutokana na idadi kubwa ya watu.

    Uchumi wa Tanzania ndio wa pili katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na wa kumi Afrika.

    Nchi inategemea sana kilimo kwa ajili ya ajira.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako