• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kuwania tiketi ya fainali za ubingwa wa mataifa ya Afrika (CHAN)- Tanzania uso kwa uso na Kenya Julai 27

    (GMT+08:00) 2019-07-16 07:56:55
    Kaimu kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Ettiene Ndayiragije ametaja majina ya wachezaji 26 kwa ajili ya michuano ya fainali za ubingwa wa mataifa ya Afrika (CHAN 2020) kujiandaa na mchezo wa kwanza raundi ya kwanza ya mchujo dhid ya majirani zao Harambee Stars ya Kenya mchezo utakaopigwa Julai 27 jijini Dar es Salaam Tanzania.

    michuano inayoshusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee kabla ya timu hizo kurudiana Agosti 2 mjini Nairobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako