• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: TWENZETU AFCON 2019: Namna makocha wazawa walivyotisha

    (GMT+08:00) 2019-07-16 07:57:33
    Wakati macho na masikio ya mashabiki nawadau wa soka duniani yangali bado nchini Misri kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON 2019), makocha wazawa wameonekana kuwatoa jasho makocha wa kigeni.

    Kitendo cha Senegal na Algeria kutinga fainali hizo, kimewafanya makocha Alio Cisse na Djamel Belmadi ambao ni wazawa kuvunja mfupa uliowashinda makocha 11 wa kigeni waliowahi kuzinoa timu mbalimbali kwenye mashindano hayo.

    Jambo la kufurahisha zaidi, Cisse anayewanoa Simba wa Teranga Senegal na Belmadi anayewafundisha Algeria wote waliwahi kushirki fainali za AFCON wakiwa wachezaji na baadaye kugeukia ukocha baada ya kustaafu kucheza soka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako