• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan na Sudan Kusini kushughulikia vizuizi vya usafirishaji wa mafuta

    (GMT+08:00) 2019-07-16 09:08:14

    Sudan Kusini na Sudan zimekubaliana kushughulikia kwa pamoja masuala yanayozuia usafirishaji nje wa mafuta ya Sudan Kusini kwa kupitia bandari za Sudan. Waziri wa mafuta na madini wa Sudan Kusini Awow Daniel Chuang ameliambia Shirika la Utangazaji la Sudan Kusini SBBC kuwa, nchi hizo mbili zitaanzisha kitengo cha uratibu ili kurahisisha usafirishaji wa vifaa vya kuzalisha mafuta kuingia Sudan Kusini kwa kupitia ardhi ya Sudan. Chuang amesema mipango hiyo itasaidia kusafirisha mafuta nje na kuongeza uzalishaji wa mafuta wa kila siku kutoka mapipa 170,000 ya sasa kwa siku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako