• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Msumbiji yaidhinisha sheria ya kupambana na ndoa za utotoni

    (GMT+08:00) 2019-07-16 09:09:16

    Bunge la Msumbiji limepitisha sheria ya kuzuia ndoa za utotoni. Mkuu ya Tume ya Haki za Binadamu, Masuala ya Katiba na Sheria Edson Macuacua amewaambia wabunge kuwa, kwa kupitishwa sheria hiyo, idadi ya wasichana wanaoacha shule na kulazimishwa kuolewa wakiwa na umri mdogo itapungua. Amesema hii itasaidia kujenga jamii yenye haki ambako wavulana na wasichana wana fursa sawa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako