• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matumizi ya nguvu ya uzalishaji nchini Zimbabwe kupungua kutokana na changamoto

    (GMT+08:00) 2019-07-16 09:40:07

    Matumizi ya nguvu ya uzalishaji nchini Zimbabwe yanatarajiwa kushuka na kufikia asilimia 34 katika mwaka 2019 kutoka asilimia 48 ya mwaka uliopita, huku wazalishaji wenyeji wakijitahidi kukabiliana na changamoto mbalimbali.

    Akizungumza na wamiliki wa viwanda na wafanyabiashara, Waziri wa viwanda na biashara wa Zimbabwe Bw. Mangaliso Ndlovu amesema ukame, kimbuga Idai, fedha za kigeni na ukosefu wa umeme ni changamoto kuu zinazopunguza ufanisi wa sekta ya viwanda nchini humo.

    Katika miaka mitano iliyopita, matumizi ya nguvu ya uzalishaji yameshindwa kufikia zaidi ya asilimia 50, huku mwaka jana yakifikia asilimia 48.27 ambayo ni ya chini zaidi

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako