• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Makampuni ya China yapewa kandarasi ya ujenzi wa barabara kuu ya Shs540b ya Mpigi-Busega

    (GMT+08:00) 2019-07-16 20:16:39

    Mamlaka ya Barabara nchini Uganda (UNRA)jana ilitoa zabuni ya ujenzi wa barabara kuu ya Busega-Mpigi kwa makampuni ya China,ikiwa ni pamoja na, China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) na China Railway 19th Bureau Group Company Limited.

    Mkurugenzi Mtendaji wa UNRA Allen Kagina, jana alisema kuwa makampuni hayo yalifanyiwa tathmini baada ya kampuni ya CMC Di Ravenna/Advent, ambayo ilitathminiwa kama mzabuni bora,kupata msukosuko wa kifedha.

    Mradi huo unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako