• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bibi Von der Leyen achaguliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa kwanza mwanamke wa Umoja wa Ulaya

    (GMT+08:00) 2019-07-17 09:05:00

    Bibi Ursula Von der Leyen wa Ujerumani ameshinda kwa kura chache katika uchaguzi wa rais mpya wa Halmashauri Kuu la Umoja wa Ulaya.

    Bibi Von der Leyen atakuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo katika ushindi huo ambao pia umesaidia kuepuka mgogoro mmoja wa kisiasa wa shirika kubwa zaidi la biashara duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako