• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IMF kuanza kumchagua kiongozi mpya

    (GMT+08:00) 2019-07-17 09:23:57

    Bodi ya wakurugenzi ya Shirika la Fedha la Kimataifa IMF imesema hivi karibuni itaanza mchakato wa kumchagua mkurugenzi mtendaji mpya baada ya mkurugenzi wa sasa Bi. Christine Lagarde kuwasilisha barua ya kujiuzulu wadhifa wake katika Shirika hilo muda wake utakapokamilika Septemba, 12 mwaka huu. Wiki mbili zilizopita, Lagarde alipendekezwa kuwa rais wa Benki Kuu ya Ulaya, ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya viongozi wa Umoja wa Ulaya juu ya uongozi wa baadaye wa taasisi za ngazi ya juu za Umoja huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako