• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meli ya mafuta iliyopotea katika mlango bahari wa Hormuz haimilikiwi na UAE

    (GMT+08:00) 2019-07-17 09:24:24

    Afisa mmoja wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE amesema, meli ya mafuta MT Riah iliyoripotiwa kupotea haimilikiwi na kuendeshwa na nchi hiyo. Kwa mujibu wa shirika la habari la nchi hiyo WAM, afisa huyo ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema meli hiyo haikuwabeba wafanyakazi wa UAE wala kuomba msaada. Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema meli hiyo ya mafuta iliyopeperusha bendera ya Panama ilipotea ilipokuwa ikipita mlango bahari wa Hormuz.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako