Bw. Robert Kasande, katibu wa kudumu katika Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini, amesema wanahamisha shughuli ya kupeana leseni kwenye jukwaa la mtandao kufuatilia leseni haraka.
Kasande amesema leseni ambazo hazikubaliki zinaendelea kuondolewa ili kufungua njia kwa wawekezaji wapya kuhamasisha sekta ndogo.
leseni kupeanwa kwa njia ya matandao inatarajiwa kupunguza muda kwa wafanyabiashara wa madini, kuongeza uwezo wa kukusanya mapato ya serikali na kupunguza uasifu.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |