• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wapatao 400, 000 wanaweza fungiwa Utambulisho wa kibinafsi (PIN) na malipo kukatwa

    (GMT+08:00) 2019-07-17 15:35:43
    watu wapatao 400, 000 wanaweza fungiwa Utambulisho wa kibinafsi (PIN) na malipo kukatwa baada ya Mamlaka ya Mapato ya Kenya kutuma matangazo kwa wale ambao hawakuweza weka mapato yao kodi kufikia Juni 30.

    Mamlaka ya Mapato ya Kenya (KRA) imewataka wale watakosa adhabu ndani ya siku 15 au Julai 30 basi walionywa kutakuwa na gadhabu kali.

    mkusanyi ushuru amesema Wakenya milioni 3.6 walitoa ripoti zao za kodi dhidi ya walengwa milioni nne.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako