• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ikulu ya Marekani yasema Uturuki imezuiliwa kununua ndege za F-35 kutokana na kupokea S-400 ya Russia

    (GMT+08:00) 2019-07-18 09:32:55

    Ikulu ya Marekani imethibitisha kuwa manunuzi ya Uturuki ya mifumo ya kujilinda dhidi ya makombora ya Russia S-400 yamesababisha nchi hiyo kushirikishwa kwenye mpango wa F-35. Taarifa imesema ndege za kivita za F-35 haziwezi kuwa pamoja na mifumo ya S-400, na kusema kuwa mifumo yake ya kukusanya taarifa za ujasusi inaweza kutumiwa kujifunza uwezo mkubwa wa F-35. Imeongeza kuwa hatua hiyo ya Uturuki siyo tu ina athari kubwa kwa mwingiliano kati yake na NATO, bali pia imeharibu ahadi zilizotolewa na nchi zote wanachama wa NATO za kuepuka mifumo ya Russia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako