• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soko la 28 la kimataifa la madini lazinduliwa Dar es Salaam

    (GMT+08:00) 2019-07-19 07:51:17
    Soko la 28 la Kimataifa la Madini limezinduliwa mjini Dar es Salaam jana.

    Soko hilo lilizinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa dare s Salaam katika jumba la National Housing Posta jijini Dar es Salaam,ambapo aliwaonya wafanyabisahara kuacha vitendo vya utoroshaji madini.

    Aidha Makonda alisema uzinduzi wa soko hilo umekuja wakati muafaka ambapo Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC ambapo wageni na wafanyabiashara watawasili nchini humo kuanzia mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako