• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa mazungumzo ya kibiashara ya ngazi ya juu kati ya China na Marekani wafanya mazungumzo ya simu

    (GMT+08:00) 2019-07-19 19:26:59

    Kutokana na mwaliko wa Marekani, naibu waziri mkuu wa China Bw Liu He ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa China kwenye mazungumzo ya kibiashara ya pande zote kati ya China na Marekani, jana amefanya mazugumzo kupitia simu na mjumbe wa mambo ya kibiashara wa Marekani Bw Robert Lighthizer na waziri wa fedha wa nchi hiyo Bw Steven Mnuchin, na kubadilishana nao maoni kuhusu kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kwenye mkutano wa viongozi wa nchi mbili uliofanyika mjini Osaka, Japan pamoja na mambo ya mazungumzo ya awamu ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako