• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wabunge wa Kenya wamtakaka waziri wa kilimo ajiuzulu

    (GMT+08:00) 2019-07-19 21:37:03
    Wabunge wa Kenya wamemtaka Waziri wa Kilimo kilimo wa Kenya Bw Mwangi Kiunjuri ajiuzulu kwa kuagiza mahindi kutoka nje.

    Wabunge hao wamedai waziri huyo tayari amelipa kampuni moja kwa jina Commodity House Ltd Sh1.8 b kuleta mahindi nchini.Hata hivyo Kiunjuri ametetea uamuzi wake wa kuagiza mahind akisema hakuna mahindi yatakayoagizwa kutoka North Rift mwaka 2019.

    Badala yake, amesema magunia 'machache' yataagizwa kutoka Mataifa ya Afrika Mashariki, Ethiopia na mengine chini ya muungano wa kibiashara wa Comesa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako