• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yatangaza kukamata meli ya mafuata ya Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-07-20 19:01:00

    Kikosi cha ulinzi wa mapinduzi ya kiislamu cha Iran jana kiliikamata meli ya mafuta ya Uingereza kwenye mlango bahari wa Hormuz.

    Kwenye taarifa yake kikosi hicho kimesema, meli ya mafuta ya Uingereza haikutekeleza kanuni ya bahari ya kimtaifa wakati ilipopitia mlango bahari wa Hormuz, na shirika la bahari la Iran limeikabidhi meli hiyo kwenye bandari ya Hormozgan ili kuendelea kutekeleza utaratibu wa sheria.

    Awali waziri mkuu wa Uingereza Bw. Jeremy Hunt alisema hakubaliani na kitendo hicho, na kwamba anafuatilia tukio hilo. Bw. Hunt alisema kuwa, serikali ya Uingereza imeitisha mkutano wa dharura wa mawaziri kuhusu tukio hilo, akiitaka Iran ihakikishe safari huria za meli baharini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako