• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mafuriko yasababisha vifo vya watu zaidi ya 150 nchini India

    (GMT+08:00) 2019-07-21 18:47:05

    Kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kwa siku kadhaa mfululizo, mafuriko yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 150 nchini India.

    Habari zilizotolewa na vyombo vya habari vya India zinasema, katika majimbo ya Bihar na Assam ambayo yameathiriwa zaidi na maafa haya, idadi za vifo vya watu imefikia 100 na 50, na katika majimbo ya Mizoram na Kaskazini, pia kuna vifo vya watu kutokana na mafuriko.

    Habari zinasema vikosi vya uokoaji vinafanya uokoaji wa dharura, na kuwapatia misaada ya chakula na dawa watu walioathiriwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako