• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyama vitano vyaingia kwenye Bunge la Ukraine

    (GMT+08:00) 2019-07-22 08:42:36

    Matokeo ya uchunguzi wa awali wa maoni ya raia yameonyesha kuwa, vyama vitano vimeingia katika bunge la 9 la Ukraine. Chama cha Mtumishi wa Watu kimepata asilimia 43.9 ya kura, Jukwaa la Upinzani - Kwa Maisha asilimia 11.5, Batkivshchyna asilimia 8.9, Mshikamano wa Ulaya asilimia 7.6 na Holos asilimia 6.5 ya kura.

    Matokeo ya mwisho ya uchunguzi huo yatatangazwa saa nne usiku kwa saa za huko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako