• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda kuanza kutengeneza chanjo za wanyama, asema waziri

    (GMT+08:00) 2019-07-22 19:56:45
    Uganda hivi karibuni itanza utengenezaji wa chanjo za wanyama, wizara ya kilimo imesema.

    Hatua hiyo imekuja baada ya serikali kusema sekta binafsi ambayo ilipewa kandarasi ya kufanya hivyo haitoi tena chanjo halisi.

    baadhi ya chanjo ni bandia na ndiyo sababu Umoja wa Ulaya umekataa nyingi ya wetu bidhaa kutoka Uganda.

    Vincent Bamulangaki Ssempijja, waziri wa Kilimo, amesema, mpango wa utengenezaji wa chanjo unaendelea na ifikapo mwezi wa Desemba au Januari mwaka ujao watazindua chanjo kwa ugonjwa wa miguu na kinywa na pia chanjo za kupe

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako