• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkurugenzi wa IAEA Bw. Yukiya Amano afariki dunia

    (GMT+08:00) 2019-07-23 08:30:47

    Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limetoa taarifa kwenye tovuti yake kwamba, mkurugenzi mkuu wa shirika hilo Bw. Yukiya Amano amefariki dunia kutokana na maradhi akiwa na umri wa miaka 72.

    Wachambuzi wanaona kuwa, bila kujali atakayerithi wadhifa huo, msimamo wa IAEA juu ya suala la Iran na masuala mengine nyeti hautapata mabadiliko makubwa. Bw. Amano alikuwa akisisitiza mara nyingi kwamba jukumu la hilo ni la kiteknolojia wala si la kisiasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako