• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Boris Johnson atarajiwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza

    (GMT+08:00) 2019-07-23 20:26:31

    Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na meya wa zamani wa London Bw Boris Johnson, leo amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama tawala cha wahafidhiana na kutarajiwa kuwa waziri mkuu wa Uingereza.

    Bw. Johnson amepata kura 92,153 dhidi ya 46,656 alizopata mpinzani wake ambaye ni waziri wa mambo ya nje wa sasa Bw. Jeremy Hunt.

    Baada ya matokeo hayo kutolewa, Johnson amesema akiwa waziri mkuu ataleta "moyo mpya wa mambo ya kuweza kufanya".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako