• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO kuthibitisha Nigeria kama nchi isiyo na ugonjwa wa polio

    (GMT+08:00) 2019-07-24 08:48:36

    Msemaji wa Shirika la Afya Duniani WHO nchini Nigeria Bi. Charity Warigon amesema, Shirika hilo linatafiti data zilizotolewa na Nigeria kuhusu madai yake kwamba hakuna kesi yoyote ya polio iliyoripotiwa nchini humo katika miaka mitatu iliyopita.

    Pia amesema, ofisi ya WHO nchini Nigeria ina imani juu ya uwezo wa nchi hiyo kufikia kiwango cha kutokuwa na polio, kutokana na juhudi za serikali katika kupambana na ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako