• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema mpango wa Marekani kuhusu Mashariki ya Kati hautafanikiwa

    (GMT+08:00) 2019-07-24 08:49:02

    Shirika la habari la Iran IRNA limeripoti kuwa, mshauri mwandamizi wa kiongozi mkuu wa nchi hiyo Bw. Ali Akbar Velayati amesema, mpango wa Marekani kuhusu Mashariki ya Kati kuhusu suala la Palestina hautafanikiwa.

    Bw. Velayati amesema hayo wakati alipokutana na naibu mkuu wa kundi la Hamas Bw. Saleh al-Arouri. Ameongeza kuwa uhusiano kati ya Iran na watu wa Palestina una mzizi mrefu ambao unaimarishwa siku hadi siku.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako