• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • IAEA kutafuta mkuu mpya baada ya kifo cha Yukiya Amano

    (GMT+08:00) 2019-07-25 09:21:15

    Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limetangaza kupitia tovuti yake kuwa bodi ya magavana itafanya mkutano kujadili uteuzi wa mkurugenzi mkuu mpya atakayechukua nafasi ya Yukiya Amano aliyefariki wiki iliyopita. Ajenda ya mkutano huo pia inatarajiwa kutoa heshima kwa Amano, na kumteua kaimu mkurugenzi mkuu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako