• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkataba mpya huenda ukafungua soko la kimataifa kwa wahasibu wa Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-07-25 19:15:51
    Rwanda, na Chama cha Kimataifa cha Wahasibu wamesaini mkataba ambao huenda ukaongeza fursa kwa wahasibu wa ndani katika soko la kimataifa.

    Mkataba huo unalenga kuimarisha utaaluma wa wahasibu wa umma na kuwaongezea fursa za kushirikiana na wahasibu watajika kutoka sehemu zote duniani.

    Kulingana na Mkuu wa Chama cha Wahasibu Rwanda Dkt Patrick Uwizeye,hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa miaka mitano unaolenga kuziba mapengo ya wataaluma wa uhasibu 5,000 katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

    Taasisi hizo mbili zimejitolea kuanzisha na kuimarisha uhusiano wa kutambuana kwa lengo la kuongeza ushindani wa uhandisi wa wanachama wao wanaotaka kupanua wigo wa taaluma yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako