• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mikopo kwa sekta ya kilimo Uganda imeongezeka

    (GMT+08:00) 2019-07-25 19:17:13

    Benki za kibiashara nchini Uganda zimejitolea kuongeza mikopo katika sekta ya kilimo katika miaka mitano ijayo.

    Benki hizo zimelenga kuongeza mikopo ya kilimo hadi asilimia 20 kutoka asilimia 12.

    Kumekuwa na ongezeko la mikopo ya kilimo katika miaka kumi iliyopita.

    Mikopo ya sekta binafsi katika sekta ya kilimo imeongezeka kutoka USh.bilioni 241.7 mwaka 2009 hadi USh.trilioni 1.6 trillion mapema mwaka 2019.

    Hivi sasa mgao wa mikopo katika kilimo kama asilimia ya jumla ya mikopo ya sekta binafsi imeongezeka mara mbili kutoka asilimia 5.2 mwaka 2009 hadi asilimia 12.9 mwaka 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako