• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Abbas amesema watu wa Palestina hawatafuata makubaliano yaliyosainiwa na Israel

    (GMT+08:00) 2019-07-26 09:58:53

    Rais Mahmoud Abbas wa Palestina ametangaza kuwa utawala wa Palestina unapanga kutofuata makubaliano ya amani yaliyosainiwa na Israel, ikiwa ni majibu ya kubomolewa kwa nyumba za wapaletina kadhaa Mashariki mwa Jerusalem. Katika mkutano wa uongozi wa Palestina uliofanyika huko Ramallah, rais Abbas amesema kuwa kamati itaundwa kutekeleza uamuzi huo ambao unatolewa juu ya msingi wa maamuzi ya awali yanayohusiana na ufafanuzi wa asili ya uhusiano na Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako