• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mratibu mkuu wa IAEA ateuliwa kuwa kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika hilo

    (GMT+08:00) 2019-07-26 09:59:06

    Bodi ya magavana ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) limemteua mratibu mkuu wa shirika hilo ambaye pia ni mjumbe wa Romania kwenye shirika hilo Bw. Cornel Feruta kuwa kaimu mkurugenzi mkuu. Shirika hilo limetoa taarifa ikisema, kutokana na kifo cha aliyekuwa mkurungenzi mkuu Yukiya Amano, na ili kuhakikisha uendeshaji wa shirika hilo, Bw. Cornel Feruta atashika wadhifa huo mpaka uteuzi wa mkurugenzi mkuu mpya utakapofanyika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako