• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanamaji wa Russia walioshikiliwa na Ukraine waachiwa

    (GMT+08:00) 2019-07-26 09:59:26

    Wanamaji kutoka meli ya mafuta ya NEYMA ya Russia walioshikiliwa na Idara ya usalama ya Ukraine wameachiliwa. Wakati huohuo, wanamaji hao wanapaswa kufanyiwa mahojiano ya simu na wapelelezi, ambayo haviwazuii kusafiri na wanaweza kuondoka nchini humo. Awali, Idara ya usalama ya Ukraine na Ofisi ya uendeshaji mashtaka ya Jeshi zilikamata meli hiyo katika bandari ya Izmail ya Ukraine kutokana na kuhusika na tukio la Ushoroba wa Kerch.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako