• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bidco kufungua eneo la biashara

    (GMT+08:00) 2019-07-26 19:26:47
    Kampuni ya Bidco Afrika imefungua eneo la biashara la kisasa katika kaunti ya Kiambu nchini Kenya ikiwa na lengo la kupanua juhuzi zake za utengenezaji bidhaa wakati huu ambapo imefungua kiwanda kingine katika kaunti ya Nakuru. Rais Uhuru Kenyatta aliongoza hafla hiyo ambapo kampuni ya Bidco inatarajiwa kufungua kiwanda cha kusindika chakula. Tayari miundo mbinu imeanza kuwekwa katika eneo hilo ikiwemo umeme. Kampuni ya Bidco tayari imeunda ajira 1000 za moja kwa moja na zisizo moja kwa moja elfu 5. Bidco inashirikiana na wakulima elfu 35 kote nchini Kenya kuwasambazia bidhaa za Soya na Alizeti.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako