• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wasudan walalamikia kupanda kwa bei ya chakula na ukosefu wa dawa

    (GMT+08:00) 2019-07-29 19:22:23
    Wasudan wengi wanateseka kutokana na kupanda kwa bei ya chakula na dawa.

    Baadhi ya dawa imekuwa ngumu kupata au hazipatikani kabisa.

    Upungufu wa dawa uliripotiwa katika majimbo matano ya Darfur na Kaskazini na Kordofan Magharibi. Wanafamasia walithibitisha kuwa baadhi ya hazipo kwenye soko tena.

    Walilalamikia ukosefu wa dawa za kuokoa maisha, dawa za wagonjwa wa akili, na zakupunguza joto kwa kwa watoto wachanga.

    Wasudan katika sehemu mbali mbali za nchi walikuwa na ugumu wa kukabiliana na ongezeko la bei ya chakula.

    Familia kadhaa zililalamika kwamba hali hiyo inawalazimisha kupunguza chakula chao cha kila siku kuwa moja tu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako