• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Malengo yetu ni kufuzu kwa Kombe la dunia 2026- FUFA

    (GMT+08:00) 2019-07-30 07:43:09
    Shirikisho la soka la Uganda (FUFA) baada ya kutangaza mapema lengo lao kubwa kwa sasa ni kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 litakalofanyika katika nchi tatu za Canada, Mexico na Marekani.

    Mpango huo umekuja baada ya kupata mafanikio katika ule wa kwanza wa kuhakikisha wanacheza hatua ya mtoano ya AFCON 2019.

    Rais wa FUFA na mjumbe wa mkutano mkuu wa CAF, Moses Magogo amebainisha hayo na kuwamba watatekeleza kwa vitendo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako