• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BAISKELI: Mashindano ya mbio za baiskeli za taifa zahitimishwa

    (GMT+08:00) 2019-07-30 07:43:35
    Mwendesha baiskeli toka mkoani Arusha, Richard Laizer ameibuka mshindi wa mbio za baiskeli za taifa kwa kutumia saa 5:16:10 kwenye urefu wa kilomita 150 mashindano yaliyofanyika siku mbili.

    Lengo la mashindano hayo ni kutafuta timu ya taifa ya baiskeli itakayowakilisha Tanzania kwenye mashindano mbalimbali ya kimataifa.

    Rais wa chama cha waendesha baiskeli nchini humo (CHABATA) Geofrey Mhagama amesema wamefanikiwa kwa asilimia kubwa kuunda kikosi hicho kutoka mikoa 6 ya Dar es Salaam, Arusha, Tanga, Mwanza, Simiyu, na Shinyanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako