• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Michuano ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 Qatar- Njia ya kufika huko inaanza hivi.

  (GMT+08:00) 2019-07-30 07:45:10

  Shirikisho la soka duniani (FIFA) kupitia shirikisho la soka Afrika (CAF) jana limetangaza ratiba ya michezo ya awali ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar, ratiba hiyo imetolewa upande wa Afrika kwa timu zinazoanza mzunguko wa kwanza kabla ya kuingia makundi.

  Tanzania imepangwa kuanza na Burundi, mchezo ambao wataanzia ugenini, wakati Rwanda wao wamepangwa kucheza na Shelisheli. Mechi hizo zitapigwa kati ya Septemba 2 hadi 9 mwaka huu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako