• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Liverpool yaeleza sababu za kumsajili kinda wa miaka 16

    (GMT+08:00) 2019-07-30 07:44:55
    Liverpool imemsaini winga kutoka Fulham Harvey Elliot, ambaye ni mchezaji mwenye umri mdogo kabisa kupata kucheza ligi kuu ya Uingereza.

    Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema usajili wa Elliot ndani ya klabu yake ni muhimu sana na wenye manufaa. Amebainisha lengo la kuwasajili vijana ndani ya Anfield ni kuwakuza ili baadaye wawe na makali ya kutosha.

    Elliot mwenye miaka 16 alicheza mchezo wa ligi kuu akiwa amevaa uzi wa Fulham katika mchezo dhidi ya Wolverhamton, na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo kabisa kupata kucheza ligi kuu ya Uingereza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako