• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji kwenye gesi asilia iliyoshinikwa (CNG) kuanzisha vituo vya mafuta kwa magari.

    (GMT+08:00) 2019-07-31 19:51:25
    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania linatoa wito kwa wawekezaji kwenye gesi asilia iliyoshinikwa (CNG) kuanzisha vituo vya mafuta kwa magari.

    Shirika linapanga vituo viwili vikubwa katika mji mkuu wa biashara, Dar es Salaam kusaidia usafirishaji wa magari ya CNG kwa vituo vya rejareja vilivyoko mbali na miundombinu ya bomba.

    Nia kuu ya wito huu ni, kuongeza upungufu wa utumiaji wa gesi kwenye sekta ya uchukuzi kwa badala ya dizeli ya gharama kubwa na isiyo nzuri kwa mazingira na petroli ambayo yote inaangizwa.

    Zabuni imefunguliwa kutoka Julai 19 hadi Agosti 19, 2019.

    Tanzania inanunua wingi wa CNG kwa ajili ya vituo vya mafuta na katika siku zijazo itaongezwa kwa maeneo ambayo vituo vitajengwa ikiwa eneo litakuwa karibu na miundombinu ya bomba la sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako