• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Leseni ya ndege ya Emirates kucheleweshwa hadi marekebisho  ya KQ kukamilika

    (GMT+08:00) 2019-07-31 19:51:42
    Kenya inachelewesha uamuzi wa kupeana mashirika ya ndege ya Emirates ndege ya tatu kila siku kuingia Nairobi hadi mpango wa wakitaifa kujadiliana ndege la Kenya Airways kukamilika.

    Katibu Mkuu wa Taasisi ya Mambo ya nje (PS) Macharia Kamau amesema hatua hiyo ililenga kuhakikisha mikataba ya anga ya baadaye na nchi zingine pia inazingatia msimamo wa mmiliki wa kitaifa.

    Kamau amesema kwamba wanashida ya kiufundi; na kweli ni suala la kisiasa ambalo linahitaji kutatuliwa… Bunge la Kitaifa, imependekeza kwamba uwanja wetu wa ndege unahitaji kupangwa.

    Kwa sababu ya suala hilo la marekebisho ya shirika la ndege la Airways hakuna uamauzi wowote waweza kufanywa kwa sasa.

    Alizungumza baada ya kukutana na ujumbe kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu, nchini kusaini mikataba mbali mbali ya nchi mbili chini ya mpangilio unaojulikana kama Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JCC).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako