• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Keroche imesema uvumbuzi wake unaoendelea kuwanufaisha wakulima na kuunda ajira

    (GMT+08:00) 2019-07-31 19:52:20

    Keroche, mfanyabiashara wa kampuni ya kutengeneza pombe ya Naivasha, amesema imejitolea kusaidia wakulima wa eneo hilo na kuunda ajira zaidi ili kukuza uchumi.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Keroche Tabitha Karanja amesema uvumbuzi unaoendelea wa uzalishaji umetumika kuboresha maisha ya wengi, huku ukihakikisha serikali kodi zaidi.

    Aidha amesema kampuni yake inaangazia kusaidia wakulima na uvumbuzi wake unaoendelea, na pia kusema watasaidia wakulima wote wa nafaka nchini kuendelea kukuza nafaka zinazokidhi viwango vya kimataifa na zinazofaa kwa uzalishaji wa bia.

    Karanja alitaka serikali kuwaunga mkono wakulima wa ndani kufikia uvumbuzi muhimu kwa uchumi kupitia kilimo.

    Kufikia sasa Keroche Breweries ina uwezo wa kutoa chupa 600,000 za bia, kwa siku na pia mivinyo mbali mbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako