• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Milan waendelea kukomaa kumng'oa Lukaku Man U

  (GMT+08:00) 2019-08-01 08:03:18
  Mkurugenzi wa klabu ya Inter Milan Beppe Moratta amesema bado anashughulikia suala la usajili wa Romelu Lukaku wa Manchester United. Man U imekataa dau la awali la Inter Milan la Pauni 54 milioni kumruhusu nyota huyo wa Ubelgiji, wanataka dau liongezwe zaidi kutokana na thamani yake.

  Moratta amebainisha kuwa, bado wanania ya kumsajili Lukaku wataendelea na mazungumzi na Man U.

  Wakati Inter Milan wakihangaikia suala la pesa, Juventus nayo imekoleza presha ya kumsaka mchezaji huyo huku wakitaka kumtoa Paulo Dyabala kwenda Man United kama sehemu ya dili hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako