• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kelly Craft athibitishwa kuwa balozi mpya wa Marekani katika Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2019-08-01 09:38:11

    Baraza la seneti la Marekani, kupitia kura za maoni, limethibitisha bibi Kelly Craft kuwa balozi wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa, nafasi iliyokuwa wazi kwa muda wa miezi 7. Kiongozi wa wengi katika baraza hilo Bw. Mitch McConnell amemsifu Craft ambaye sasa ni balozi wa Marekani nchini Canada kuwa mtu anayefaa kushika nafasi hiyo muhimu, ingawa maseneta wa Chama cha Democratic wana mashaka kuhusu uzoefu wake, msimamo wake juu ya suala la mabadiliko ya hali ya hewa, na suala la kimaslahi linaloweza kutokea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako