• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwenge wa Michezo ya saba ya majeshi wawashwa mashariki mwa China

  (GMT+08:00) 2019-08-01 19:09:31

  Mwenge wa Michezo ya saba ya majeshi duniani umewashwa katika mji wa Nanchang, mkoani Jiangxi ambao unaosifika kuwa chanzo cha jeshi la ukombozi wa umma la China.

  Mapinduzi ya Nanchang yaliyoongozwa na chama cha kikomunisti cha China yalitokea Agosti 1 mwaka 1927, unakumbukwa kama siku ya kuzaliwa kwa jeshi la ukombozi wa umma la China.

  Mbio za mwenge huo wenye urefu wa milimeta 700 na uzito wa gramu 780 zimeanzia katika uwanja wa Bayi, na inatarajiwa kuwa watu 2,019 watakimbiza mwenge huo katika miji 27 kwenye maeneo 16 ya kijeshi, kuanzia leo Agosti 1 hadi Oktoba 18.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako