• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Pepe kuvaa uzi wa washika bunduki wa jiji la London, asaini kwa dau nono

  (GMT+08:00) 2019-08-02 07:55:32
  Washika bunduki wa London Klabu ya Arsenal imemsaini winga wa Ivory Coast Nicolas Pepe kutoka klabu ya Lille kwa dau lililovunja rekodi la timu hiyo la pauni 72.9 milioni.

  Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano katika uwanja wa Emirates baada ya kufanyiwa uchunguzi wa afya siku ya Jumanne.

  Pepe alifunga magoli 35 katika mechi 71 za ligi ya Ufaransa akiichezea Lille baada ya kujiunga kutoka klabu ya Angers 2017.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako